Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Mwanza, Ukerewe taratibu za mazishi ya Watanzania waliofariki katika ajali ya Mv Nyerere zikiendelea zikiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Mungu azipumzishe kwa amani roho za maheremu wote waliopeteza maisha katika ajali hii.

Aidha, Rais Magufuli ametoa siku tatu za kupeperusha bendera nusu mlingoti na siku nne za kuomboleza kufuatia pigo hili la taifa tangu Septemba 22, 2018.

LIVE: Miili ya Watanzania ikihifadhiwa katika nyumba zao za milele
Ummy Mwalimu aipa tano TAA