Tazama Mubashara wakati huu kutoka Mkoani Dodoma yanayojiri katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania katika miaka ya 1977 hadi 1984 alipofariki dunia kufuatana na ajali ya gari.

Video: Upinzani nilikuwa sipati ushirikiano, CCM Kazi imekuwa nyepesi sana
Video: Wabunge Chadema, CCM watoana jasho, Nguvu ya wanawake yamng'oa Al Bashir

Comments

comments