LIVE: Msemaji mkuu wa Serikali akiulizwa maswali na waandishi wa habari, Miaka 4 ya JPM
5 years agoComments Off on LIVE: Msemaji mkuu wa Serikali akiulizwa maswali na waandishi wa habari, Miaka 4 ya JPM
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa waandishi wa Habari, Miaka 4 ya JPM leo Jumatano Novemba 6, 2019 Jijini Dar es salaam…, Bofya hapa kutazama.