LIVE MWANZA: Rais Magufuli akifanya ziara ya Ukaguzi katika Bandari jijini Mwanza
6 years agoComments Off on LIVE MWANZA: Rais Magufuli akifanya ziara ya Ukaguzi katika Bandari jijini Mwanza
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ukarabati wa meli kubwa katika bandari jijini Mwanza.