Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara na watu wanaosema fedha zimeadimika wafanyekazi ili waweze kupata fedha na si kuendelea kulalamika.

Ameyasema hayo wakati akihutubia wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Kiwanda cha kutengeza dawa cha Prince Pharmatheutical kilichopo jijini Mwanza, huku akiwataka wawekezaji kuwekeza katika sekta mbalimbali.

Chelsea, Barcelona, Man Utd kibaruani leo
Mavunde awataka vijana kuchangamkia fursa