Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yupo mkoani Manyara kwa ziara ya kikazi, ambapo leo anazindua barabara mkoani humo. Tazama hapa moja kwa moja kutoka Manyara Rais Magufuli akihutubia mamia ya wananchi waliokusanyika kumsikiliza.

Uuzaji wa pombe siku za wiki wapigwa vita
Kubenea atua Dodoma kuhojiwa