LIVE: Rais Magufuli akikabidhiwa mfumo mpya wa kusimamia mawasiliano ya simu (TTMS)
6 years agoComments Off on LIVE: Rais Magufuli akikabidhiwa mfumo mpya wa kusimamia mawasiliano ya simu (TTMS)
Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka jijini Dar es salaam ofisi za Mamlaka ya Mawasialiano Tanzania (TCRA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akikabidhiwa mfumo mpya wa mawasiliano ya simu TTMS.