LIVE: Rais Magufuli akipokea gawio la Serikali kutoka TTCL
6 years agoComments Off on LIVE: Rais Magufuli akipokea gawio la Serikali kutoka TTCL
Tazama hapa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio la Serikali kutoka Shirika la Mawailiano Tanzania, TTCL muda huu katika makao makuu ya shirika hilo jijini Dar es salaam.