LIVE: Rais Magufuli akipokea Magawio kutoka Makampuni, Taasisi za Umma
7 years agoComments Off on LIVE: Rais Magufuli akipokea Magawio kutoka Makampuni, Taasisi za Umma
Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea magawio kutoka Makampuni, Mawakala, Taasisi na Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha 2017/2018.