Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 25, 2017 amewasili mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ambapo atazindua barabara ya Manyoni – Itigi – Chaya. Rais Magufuli amewasili mkoani Singida akitokea mkoani Tabora ambako amefanya uzinduzi wa miradi mbali mbali ya maendeleo. Tazama hapa moja kwa moja kutoka Singida kufahamu yanayojiri muda huu
