Leo Oktoba 14, 2017 ni kumbukizi ya miaka 18 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, maadhimisho ambayo yanafanyika katika uwanja wa Amani Zanzibar. Tazama hapa moja kutoka Zanzibari ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ndiyo mgeni rasmi katika maadhimisho hayo.

Pia Rais Magufuli ataongoza sherehe za kilele cha mbio za Mwenge. Bofya hapa kufuatilia

Marekani, Iran zatunishiana misuli
Mama wa mgombea urais Rwanda adai kunyanyaswa