Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Butiama Mkoani Mara, Leo Septemba 6, 2018 Rais John Pombe Magufuli akiwa anaendelea na ziara yake ambapo anazindua barabara ya makutano ya Natta – Magumu yenye urefu wa 135km.

Ambapo Rais atazungumza na wananchi, mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola, na Waziri wa Tamisemi Seleman Jafo.

Trump aagiza kukamatwa kwa Mwandishi anayekosoa Serikali yake
Kocha Salisu Yusuf ahukumiwa Nigeria