Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Mkoani Mara Leo Agosti 5, 2018 Rais Magifuli akifanya mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mkenda ambapo atazungumza na wananchi wa Musoma.

Ziara hiyo ni maalumu kwa ajili ya Uzinduzi wa Barabara ya Simiyu, Mkoani Mara mjini Musoma.

Pep Guardiola apiga marufuku matumizi ya simu
UEFA yaombwa kubadili sheria za bao la ugenini, usajili