Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Simiyu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais John Pombe Magufuli akizindua na kuweka jiwe la msingi kuruhusu ujenzi wa daraja la mto Sibiti lenye mita 82 linalounganisha mkoa wa Singida na Simiyu.

Video: Haya hapa makanisa yenye imani za ajabu zaidi
Mke wa Mugabe aeleza ‘wema’ aliofanyiwa na Rais Mnangagwa