LIVE: Rais Tshisekedi wa DRC Congo atembelea Bandari ya Dar es salaam
6 years agoComments Off on LIVE: Rais Tshisekedi wa DRC Congo atembelea Bandari ya Dar es salaam
Tazama hapa Mubashara Rais wa DRC Congo Felix Tshisekedi akiendelea na ziara yake nchini, na amefika katika Bandari ya Dar es salaam kuangalia shunghuli zinavyo endelea akiwa na waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, mhandisi Isack Kamwelwe.