Tazama hapa Mubashara Rais wa DRC Congo Felix Tshisekedi akiendelea na ziara yake nchini, na amefika katika Bandari ya Dar es salaam kuangalia shunghuli zinavyo endelea akiwa na waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, mhandisi Isack Kamwelwe.

Sudan: Rais aliyepinduliwa Omar Al-Bashir ashtakiwa kwa Ufisadi
Video: Bajeti funga kazi, kigogo CHADEMA auawa nyumbani kwake usiku

Comments

comments