Habari LIVE: Viongozi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli wakila kiapo 6 years ago Comments Off on LIVE: Viongozi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli wakila kiapo Mara baada ya Rais John Pombe Magufuli kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali viongozi hao wameapishwa leo Agosti 1, 2018 Ikulu, jijini Dar es salaam Fuatilia matangazo hayo moja kwa moja hapa Dar 24. Lowassa kuibeba tena Chadema Monduli, ‘moto hauwezi kuzimwa’ Video: Ngome ya Lowassa yatikiswa, Chadema yazidi kumeguka