Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka jijini Dodoma yanayojiri katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ambapo tayari wajumbe kutoka mikoa mbali mbali nchini wamefika Dodoma kwa ajili ya kupiga kura kumchaagua Rais wa Shirikisho hilo. Tazama hapa