Vielelezo vinavyoonesha kuwa Kiswahili ni moja kati ya nembo za utambulisho wa Afrika vinaendelea kubainika ambapo mastaa kadhaa wa Marekani wanapotaka kuyakuna masikio ya Afrika Mashariki hutumia lugha hiyo.

Rapa nguli, LL Cool Jay ametumia video ya sekunde 14 kuwashukuru mashabiki wake wa Afrika Mashariki kwa lugha ya Kiswahili.

Ha #NCISLA #UnderCover

A video posted by llcoolj (@llcoolj) on


Rapa huyo ambaye pia ni muigizaji anaonekana kufurahia kile alichokisema kwa kuwa Kiswahili ni kitamu.

Jose Chameleone Aandika Ujumbe Wa Hisia Kuhusu Afya Ya Mr. Nice
Shetani Aingilia Mapenzi Ya Lil Wayne Na Christina Milian