Afya Habari Maadhimisho siku ya wazee 3 years ago Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto imetangaza kwa jamii kuwa Octoba 1 ni siku ya kimataifa ya wazee. Aidha maadhimisho ya mwaka huu 2021 yatafanyika kuanxia ngazi za Mikoa. Aweso: 'RUWASA lazima tuwe wa kisasa zaidi' Waziri Mkuu Atoa Agizo Kwa Taasisi Za Umma