Waziri wa Kilimo , Japhet Hasunga amesema kuwa 14 Disemba 2018 wakulima 130,163 wamelipwa jumla
ya shilingi 133,259,933.855
Hasunga ametoa takwimu hizo tarehe 15 Disemba 2018 wakati akizungumza kwenye mkutano wa
wabanguaji uliofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Amesema kuwa katika Mkoa wa Mtwara wananchin ambao wamekwishalipwa ni 77,055 huku jumla ya fedha iliyolipwa ni Bilioni 80,098,982,060
Katika mkoa wa Lindi tayari wakulima 41,564 wamekwishalipwakiasi cha Bilioni 42,502,635,227 huku katika mkoa wa Ruvuma wakulima 11,463 wamekwishalipwa
kiasi cha Bilioni 10,557,222,943
Aidha, ameongeza kuwa Hasunga amesema kuwa katika mkoa Pwani Milioni 101,091,960 zimekwishalipwa kwa watu.