Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam zimesababisha mafuriko makubwa katika baadhi ya maeneo huku baadhi ya barabara zikifungwa ili kuepuka hatari ambayo inaweza kutokea.

Morogoro road ni moja kati ya barabara zilizofungwa kwa muda baada ya eneo la jangwani kufurika maji na kusababisha barabara hiyo kutopitika hivyo kufungwa kwa sababu za kiasalama.

Angalia picha mbalimbali za mafuriko yaliyotokea eneo la jangwani jijini Dar es salaam.

UDART yasitisha kutoa huduma za usafiri jijini Dar
Afariki kwa kupigwa risasi, wengine 20 wajeruhiwa vibaya