Sakata la ubadhirifu wa fedha limeendelea kuitafuta Bandari ya Dar es Salaam ambapo rais John Magufuli ameimulika na kuitumbua kama alivyoahidi.

Taarifa zilizotolewa leo kwa vyombo vya habari zimeeleza kuwa rais John Magufuli amemsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Shabani Mwinjaka.

Massawe

Pia, rais ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa Bandari, Awadhi Massawena kuvunja bodi ya bandari hiyo. Maafisa nane wa Bandari pia wamekumbwa na kimbunga hicho huku rais akiagiza wote wawekwe chini ya ulinzi wa polisi.

Jose Mourinho Ajiondoa Nne Bora Msimu Wa 2015-06
Picha: Msanii achomwa visu akiwa kazini, mashuhuda wadhani ni Igizo