Magufuli atangaza siku 7 za hekaheka, Vigogo 10 wakalia kuti kavu, Mbinu zatajwa kukamilisha usajili wa laini kwa wakati, Madiwani nusura wachapane makonde,Fatma karume ajipanga kuingia kwenye siasa, Moto wateketeza hoteli ya Coco Beach, Wanaoshabikia mapenzi ya jinsia moja sasa kukiona cha moto, Mtihani mgumu kwa vigogo, Lissu ang’aka Fatma Karume kusimamishwa uwakili bara,.. Bofya hapa kutazama habari zilizopewa kipaumbele kwenye magazeti ya leo Septemba 23, 2019.

Mbaroni kwa kusafirisha viroba vya madini bila kibali.
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Septemba 23, 2019