Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa fomu ya kuomba ridhaa Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi – CCM.

Wengine waliochukua fomu leo ni, Naibu Waziri Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu Jimbo la Geita Mjini, Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Msukuma amechukua jimbo la Geita vijijini.

Paul Makonda akikabidhiwa fomu
Costantine Kanyasu akikabidhiwa fomu
Joseph Msukuma akikabidhiwa fomu
Tetesi: FC Barcelona yazitega Arsenal, Newcastle Utd
Luc Eymael: Simba SC wametupa mwongozo

Comments

comments