Kikosi cha mashetani wekundu hii leo, kitakabiliwa na mpambano wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, dhidi ya Club Brugge kutoka nchini Ublegiji.

Man Utd wanaanzia nyumbani Old Trafford, huku mashabiki wengi duniani wakiwapa nafasi ya kuanza vyema katika mpambano huo wa mkondo wa kwanza.

Tayari kikosi cha Man Utd klimeshaingia kambini kuwasubiri wapinzani wao ambao wanatokea nchini Ubeljigi.

Meneja wa Man Utd, Louis Van Gaal ameshathibitisha kuwa tayari kupambana na Club Brugge ambayo amesisitiza kuiheshimu klabu hiyo kutokana na hitaji walilonalo la kutaka kusonga mbele kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu huu.

Michezo mingine ya hatua ya mtoano inayochezwa hii leo.

Oliseh Ambwaga Obi Na Victor Moses
Lowassa Amsemea Kingunge