Kutoka Kwenye Ukurasa wake wa Instagram Ameandika:

Mara kadhaa huyu Bint amependa kunidhalilisha aidha kwenye mitandao ya kijamii au kwenye Magroup ya Whatsapp mbali ya kuja kwenye Press zangu kuja kuingilia majibu na maswali ya wengine bila kufuata utaratibu kama alivyofanya leo.

Nadhani hili ni kundi la baadhi yao wasiotaka kuzingatia maadili ya taaluma yao,,au lile kundi linalonichukia baada ya kuona story za Simba hazivuji na hakuna exclusieve tena,,,

Uzuri wake Viongozi wake na Waandishi kadhaa wana kumbukumbu ya maelezo yangu ya kumlalamikia juu ya vitendo vyake vibaya kwangu.
Mfano ni hyo post ya juu aliandika caption mbaya karibu ya mechi kubwa ilhali ni picha iliyopigwa kitambo ,,,nia ovu imekuwa kubwa sana kwake na bad luck huwa akiulizwa hasemi tatizo ni nn ? Au tatizo ni Haji!!

Kaenda kuongopa eti nimetaka kumkunja,,ili mradi anichafue,,,
Wanahabari wote waliokuwepo pale hata hao marafiki zake hawawezi kuthibitisha uongo wake hata robo.

Good luck kote aliposema ikiwemo ktk hilo group la Watsapp watu wanajua alichokuwa anakifanya juu yangu.

Mara ya mwisho niliongea na Tupatupa na Privadinho juu ya huyu bint ,nikiwaasa wamuonye sio vzuri kumchukia mtu msiye na ugomvi kisa ushabiki,,,na tusitumie nafasi ya Mwanamke kama fimbo ya kudhalilisha watu ,,,Mwanamke shupavu ni yule mwenye heshma Kwa watu wote na kuwa mweledi,,,
Sijapenda fimbo aliyotumia kutafuta huruma huku amekuwa ananikosea mara kadhaa na ushahidi nnao !!

Labda ametumwa kunivuruga kuelekea derby au ni hulka zao zile zile za chuki dhidi ya Simba na dhidi yangu binafsi.

Ahhh nimesamehe kiimani lakini akinichafua ntaweka msg zote alizoniomba msamaha kuthibitisha aliyokuwa akinifanyia,,,anakukosea leo kusudi kesho anaomba msamaha sirudii kisha anafanya tena na tena.

Ndugu zangu @shaffihdauda na @luambano77 nishawahi pia kuwaambia juu ya hayo na sijui huyu binti nn tatizo lake kwangu ? Ahhhh hz ndio game zao na mm nimezipokea

Ester Bulaya afunguka chama alichopo sasa, atoa ya moyoni kwa Rais Samia
Ally Saleh atimiza ahadi yake