Mkono Wa Mungu ni usemi  maarufu uliotokana nan  goli ambalo Maradona alifunga kwenye mechi ya kombe la dunia dhidi ya England. Lakini katika mechi hiyo refa hakuweza kuona kama Maradona alifunga goli kwa mkono, matokeo yake likahesabiwa kuwa halali.

Wiki hii Maradona akiwa Tunisia amemtembelea refa huyo anayeitwa Ali Bennaceur.

Maradona alipokutana na refa huyo ambaye kwasasa  ana miaka 71 walipeana zawadi ambapo Maradona alimpa jezi yenye maneno “Fro Ali, my eternal friend”.

Baadae ilichezwa mechi huko Tunisia kwenye uwanja wa Azteca kati ya  timu ya maradona na Shilton.

FIFA Kukutana Na Marafiki Wa Kibiashara
CCM Watangaza Kikosi Cha Kumuangamiza Lowassa