Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari kufanyiwa marekebishi Januari 2023, ambapo mabadiliko hayo ni safari ya kuwezesha kulindwa kwa uhuru wa wa habari kwa mujibu wa sheria na sio utashi wa viongozi.

Hayo ymesemwa na Waziri wa Habari, ,awasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye katika Kongamano la Kwanza la Maendeleo ya sekta ua Habari 2022.

Waziri Nape ameeleza kuwa wakati hilo likisubiriwa uhusiano baina ya sekta ya habari na sekta ya umma nchini umeendelea kuimarika katika serikali ya awamu ya sita chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.

”Hakunafuraha amani na maendeleo kama Uhuru wa Habari katika jamii hiyo hauapo hivyo ni muhimu kulinda uhuru wa habari ili vitu hivi visiwepo kwenye jamii hilo linawezekana na huo ndiyo msingi wa kongamano jili ambalo linalenga kuleta maendeleo furaha na msingi wa taifa letu” amesema Nape.

”Sheria na kanuni mbalimbali zinaendelea kufanyiwa mabadiliko kwa mujibuwa sheria, uhuru wa habari unapaswa kulindwa kwa mujibuwa sheria sio utashi wa viongozi, kiongozi yeyote atakaye kuja atalazimika kulinda uhuru huu kwa mujibu wa sheria hata kama hataki” ameeleza Nape.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Desemba 18, 2022
Malimbikizi ya madeni yavitesa vyombo vya habari