Mwanamuziki maarufu nchini Marekani, Travis Scott ameingia makubaliano na NFL kwamba hadi kumfanya atumbuize kwenye fainali ya Super Bowl ni lazima wakubali kuchangia taasisi ya watu wenye uhitaji .
Ombi hilo la Travis Scott limepitishwa na kwa pamoja watachangia $500 kituo cha Dreams Corps taasisi ambayo inajishugulisha kutokomeza ubaguzi wa rangi iliyoanzishwa na Van Jones mwaka 2014.
Tangu Tetesi ya AstroWorld rapa, Travis Scott kakubali ofa ya kutumbuiza kwenye Super Bowl amekuwa akipokea mashambulio makali kutoka kwa wanamuziki na mashabiki hii ni kutokana na ubaguzi wa rangi kuikumba NFL.
Kikundi cha muziki Maroon 5 wametangaza uwepo wa Travis Scott kutumbuiza kwenye mapumziko ya Fainali ya super Bowl 2019.