Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Kupitia taarifa iliyotolewa na Murugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kuwa kabla ya uteuzi huo Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

Makampuni binafsi yatakiwa kutoajiri Askari wazee
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Oktoba 2, 2023