yametakiwa kuboreshwa ilikusaidia Serikali katika mchakato wa kuhamia Dodoma kama ilivyoagizwa na Rais wa Jamhuri yaMuunganowa Tanzania Dkt John Magufuli ilikutekeleza mpango uliowekwa na Baba waTaifaMwalimu Julius Nyerere.

Akizungumza hayo katika ufunguzi wa kikao cha kazi cha watendaji Wakuu wa Wakala zaserikali (fcega) Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais,Menejemanti,Utumishiwa Umma na Utawala Bora,Bibi Susan Mlawi alisema kuwa mawasiliano hayo ya TEHAMA yanapaswa kupewa kipaumbele katika utendaji kazi waserikali ili kupata watumishi bora.

“Matumizi ya teknolojia ya Tehama yatasaidia Nchi kufikia maendeleo haraka na kupunguza gharama za watu kusafiri kwaajili ya kwenda kwenye vikao vya mkazi kamazifanyavyo nchi nyingine”alisemaBibi Susan.

Aidha Bibi Susan ameongeza kuwa wakala wa serikali watumie mafunzo kwanjia ya mtandao(TAGLA)  kwakuwa wana uwezo wa kutoa mafunzo yatakayoisaidia Serikali katika mawasiliano na taasisi zake hasa katika mkutano masafa(telle conference)

Mbali na hayo Bi. Susan amesema ” nimadamuafakainayoletachachu ya kuongeza ubunifu na kufanyakazi kwa ufanisi zaidi hususani katika taasisi za Kiserikali.

Kwa upandewa Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya ajira Daudi Xavier,alisema kuwa wanatumia teknolojia katika kupashanam habari,upokeaji wa maombi ya ajira na utunzaji wa taarifa za waombaji fursa za ajira,katika kufanya mikutano ya kiofisi kwa kutumia mkutano masafa na kupunguza gharama za matangazo.

“Tunatumia Tehama sana katika kazi zetu na hii imetusaidia kubaini wanafunzi wadanganyifu kwau pande wa vyeti kwa kufanya mawasiliano na taasisi za elimu kupata taarifa za watu wanaotuma maombi ya kazi”alisemaBw.Daudi.

Mbali na hayo pia Mkurungezi Mkuu wa Wakala wa Mafunzo kwaNjia ya Mtandao(TAGLA)Bw.Charles Senkondo alisema kuwa lengo la kikao hicho ni kubadilishana mawazo nakutatua changamoto zinazozikabili taasisi mbalimbali za Kiserikali katika maswala ya teknolojia.

“Teknolojia sasa hivi imekua kwa kiasi kikubwa na tunaweza kutumia tehama katika kazi zetu za kila siku na sisi TAGLA tupo tayari kusaidia katika kuboresha hilo ili kurahisisha mawasiliano nakusaidia kujifunzateknolojia”alisemaBw.Senkondo

Kwa upande wake MkurengeziMkuu waMamlaka ya Chakulana Dawa(TFDA) Bw. Hiiti Sillo alisema kuwa teknoloji hiyo isaidie katika kupata wakaguzi bora wa vyakula na dawa kwa maendeleo ya Taifa ili kusaidia amii kuondokana na madhara yatokanayo na bidhaa zenye sumu.

“Naamini kupitia taaluma hii ya kisasa itasaidia sana katika kufanikisha ufanyajikazi wetu katika kukaguana kuthibitisha bidhaa zilizo bora kwa matumizi ya watanzania”alisisitizaBw.Sillo

Bodi Ya Filamu Ya n'gaka Yatoa Siku Saba Kwa Pamoja Company Kuwasilisha Nyaraka Za Filamu Zake
Waajiri Kote Nchini Watakiwa Kutimiza Wajibu Wao