Mchumba wa Luteni Karama, Bela amesema kuwa kiongozi wa kundi la Gangwe Mob, Inspector Haroun amekuwa akimbania mpenzi wake asifanye vizuri kwenye muziki kwa takribani miaka kumi sasa.

Bela ambaye ametumia Instagram kubwaga manyanga yake akimponda shemeji yake huyo aliyedumu kwenye muziki huu hadi kufikia hatua ya kuitwa ‘babu’.

Hiki ndicho alichoandika:

Luten Karama akimvisha pete mchumba wake Bela hivi karibuni

Luten Karama akimvisha pete mchumba wake Bela hivi karibuni


“Huu sasa ni kama mwaka wa kumi, kila ukienda sehemu au show lazima uniuwe mimi ‘oooh bela anamkataza @lutenkarama asifanye kazi oooh bela atak karama awe na washkaji na muda mwingine usha sema uwongo dar live @globalpublishers kuwa karama hatak hii show pesa zote nipewe mimi ila walitumia akili ilipo fika saa 5 usiku uwongoz wa @globalpublishers walimpigia sim karama na kumuuliza why hutak show eti bela anakukataza kufanya show . karama akashangaa na akawajibu ajui chochote kuhusu show . globo wakamuambia karama tunaomba uje dar live kwa sisi tumetoa pesa za gangwe mobb na siyo pesa za mtu mmoja . karama akawa hatak. ila mimi nikamlazimisha adi akaenda. yaan alipata sana aibu. na kuna watu wengi siyo chin ya 40 kazi yake zikija show za kundi yeye ana kimbilia karama awez kuja dem kambana dem atak afanye kaz. au ana chukua pesa ya kundi akifika siku ya show anaenda peke yake akiulizwa mbona umekuja mwenyewe anajibu karama kagoma kuamka kisa bela anamkataza. jaman mpaka naandika apa nimechoka na nimevumilia sana miaka mingi kwa nini anasema uwongo kwa kunitaja mimi na ushaid nina. kwa nini unakua na roho mbaya kiasi hichi? MBONA MWENZIO KARAMA MPOLE SANA NA AKUSEM KWA WATU? ona sasa umevunja gangwe mobb kwa tamaa zako umepata nini sasa? kumbuka umoja ni nguvu. kuanzia leo watu mjue mimi simkataz karama kufanya kaz yoyote ile . NAOMBA UNIACHE KUTAJA JINA LNG PLZ PLZ YAAN WASANII WENZIO WAKUBWA WAMECHOKA UNAVYO MFANYIA KARAMA.”

Angelina Jolie na Brad Pitt Watajwa kuwa Mastaa Wenye Nguvu Zaidi Hollywood
Joto Dodoma: Mabaunsa Washawishiwa Kufanya Fujo Mgombea Asipopitishwa