Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya leo Juni 28 imemuachia huru kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mdude Nyangali maarufu kama Mdude Chadema aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kusafirisha madawa ya kulevya ya heroin gramu 23.4

Akizungumza katikaa Mahakama hiyo Hakimu Mfawidhi, Zawadi Laizer amesema upekuzi ulofanyika nyumbani kwa mshtakiwa ulikuwa ni batili na haukufuata sheria na kanuni za upekuzi.

Kutokana na ufafanuzi huo wa Hakimu Mfawidhi Laizer, Mdude amekutwa hanaa hatia na kuachiwa huru.

Mugalu: Nipo tayari kuikabili Young Africans
Wananchi wawatimua Al-Shabaab, ni baada ya kuvamia kambi ya jeshi na kuua makumi