Siku chache zilizopita rapa Meek Mill alilipotiwa kukabiliwa na makosa ya kukamatwa akipigana katika uwanja wa ndege wa St. Louis mapema mwezi Machi shtaka lingine likiwa ni kukamatwa akiendesha chombo cha moto kwa kasi.

Meek Mill amefikishwa Mahakamani kusikiliza mashtaka yanayomkabili na rapa huyo amehukumiwa kwenda jela miaka 2-4 (miaka 2 mpaka minne).

Hukumu hiyo imetolewa na hakimu wa Philadephia kutokana kujirudia kwa makosa tofauti ya Meek Mill mwaka huu, hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa Hip hop na lebo ya muziki ya MMG kwani ni miezi michache tu iliyopita Meek aliachia albam yake mpya inayoitwa Wins & Losses.

 

Magazeti ya Tanzania leo Novemba 8, 2017
Dawa za kusisimua misuli zamponza mwanariadha Kenya