Mgogoro katika ukanda wa Gaza unazidi kufukuta, huku Jeshi la Israel likikiri kuwa idadi kubwa ya raia na wanajeshi wake wanazuiliwa na kundi la wanamgambo wa Palestina, Hamas.

Miongoni mwa waliotekwa ni pamoja na Watoto, Wanawake na Wazeee huku ikidaiwa kuwa wengine kati ya wanaozuiliwa wanahofiwa kufariki.

Kwa mujibu wa ushahidi wa picha za video ambazo zimekuwa zikisambazwa mtandaoni, zinaonyesha Waisraeli wakiwa mikononi mwa wapiganaji hao wa Hamas.

Video moja iliyochapishwa na mitandao ya Wanahabari inaonesha Lori moja likiendeshwa katikati ya umati wa watu kwenye Ukanda wa Gaza, likidaiwa kuwa lilikuwa limebeba mateka wa Israel qmbayo imesema unajipanga kurudisha mashambulizi.

Wakazi Ilembo waikubali Serikali, DC Malisa awapa neno
Uketetaji: Washiriki 900 Afrika kukutana Dar es Salaam