Mifuko feki ya sukari ya bilioni 2 yakamatwa, Kigwangalla azuia magogo ya wafanya biashara kwa miaka miwili, Makamu wa Rais kufungua maonesho ya sabasaba, Mke wa Ongangi amlilia Rais Magufuli aingilie kati kutekwa mumewe, Keisha ang’olewa ujumbe kamati kuu CCM baada ya siku 396, Ajira kibao zaiva jeshini, Takukuru yanusa rushwa katika mradi wa maji, Mfanyabiashara adaiwa kutekwa, Msekwa, Zito wafunguka kuvuliwa ubunge wa Lissu, Shahidi ataja damu kesi ya kina Mbowe, Maeneo nane watakayopitia wafanyabiashara 2019/2020, Nchi sita zajadili gharama za simu EAC, Magufuli atua Chato kwa Airbus awasifu wananchi kwa kuchapa kazi, Wapangaji nyumba za TAB wapewa siku 14…, Bofya hapa kutazama habari zilizopewa kipaumbele kwenye kurasa za mbele za leo Julai 2, 2019.

LIVE: Hafla ya Uwekaji Saini Miradi Mikubwa ya Maji jijini Dar es salaam
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Julai 2, 2019