Leo Mei 7, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amezungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Zaidi ya Wazee 900 kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamehudhuria Mkutano huo.

Samia awaonya majambazi, "msijaribu kina cha maji"
Spika Ndugai akazia kuhusu Mdee na wenzake