Wanamgambo wa al-Shabab wameshambulia na kulipua mtambo wa mawasiliano uliopo katika mji wa Fino, Kenya.
Â
Jeshi la Polisi nchini humo limesema kuwa lilipambana sana na wanamgambo hao na hakuna maafa yoyote yaliyoripotiwa kwa upande wa polisi waliokuwa wakiulinda mtambo huo wenye vifaa vya kurushia mawasiliano.