Watumiaji wa mtandao wa WhatsApp duniani kote wamejikuta wakituma jumbe mbalimbali bila mafanikio kutokana na hitilafu kwenye mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Meta.

Uongozi wa kampuni hiyo ya Mata umesema “Tunafahamu kuwa baadhi ya watu kwa sasa wanashindwa kutuma ujumbe na tunajitahidi kurejesha WhatsApp kwa kila mtu haraka iwezekanavyo,”.

Kufuatia hitilafu hiyo, watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wamelazimika kutumia njia mbadala katika mawasiliano.

Mashabiki Simba SC waahidiwa furaha
Safari ya Simba Queens kwenda Morocco yaiva