Niliishi na mke wangu Cate kwa furaha hadi wakati ambapo alianza kunichapa makonde nisijue hata pa kukimbilia, alikuwa ni mwanamke ambaye mwili ulikuwa umemkubali ajabu.

Alikuwa ni askari na mimi nilikuwa ni dalali wa kuuza maji mjini Kakamega, wakati nataka kumuoa, marafiki zangu walinikataza na kusema kuwa mwanamke yule angenisumbua lakini yote sikutilia maanani. Mapenzi yalikuwa yamenoga na hakuna chochote nilikuwa nasikia.

Kila mara alipotoka kazini nalifika nyumbani na kuanza vurugu, kwa vile nilikuwa na mwili mdogo alinizaba nisijue hata la kufanya, ningekimbilia kwa majirani wangenicheka na kuniita mwanaume bwege.

Wakati mwingine hata alinipa nguo zake nimfulie, nilifua hata nguo zake za ndani, wakati mwingine majirani walimsifia kuwa amepata mume mzuri baada ya kuniona mara nyingi nikufua mavazi ya mke wangu bila hata ya uoga.

Mgeni alipokuja nyumbani mimi ndiye nilikuwa nawajibikia kupika chai, jambo hilo lilikuwa kinyume na mila na desturi za Waafrika, ama kwa hakika Cate alikuwa amenikalia chapati na sikuwa na lolote la kufanya.

Jambo lililonikosesha usingizi kabisa ni mke wangu kuninyima hata haki yangu ya tendo la ndoa, alikuwa mkali na kila mara nilipomuuliza alinifokea sana na kichapo kingefuatia.

Hali hii ilinifanya kuanza kutamani wanawake wa watu na hata wakati mwingine nilichukua hatua mikononi mwangu na kujitosheleza kwa kutumia sabuni na mafuta ya nywele kwani nilikuwa nimekumbwa na tamaa ya kula uroda.

Sikuwa na nafasi hata ya kwenda kutazama mpira na marafiki zangu, siku moja niliona cha mtema kuni niliporejea nyumbani nikiwa nimechelewa, nilikuwa nimetoka kuangalia mchezo kati ya Manchester United na Chelsea.

Siku moja nilimtembelea rafiki yangu Kanini na kumueleza shida nilizokuwa napitia kwenye ndoa ile, hakusita na kusema yeye pia alikuwa na shida sampuli ile lakini African Doctors alimsaidia, siku iliyofuatia nilifunga safari na kuelekea kwa African Doctors kwa ajili ya usaidizi.

Niliezea shida nilizokumbana nazo na bila ya kupoteza muda alinishughulikia na akaniruhusu nirejee nyumbani, nilifahamu fika kwamba ningepigwa na mke wangu kwani nilikuwa nimechelewa kurudi, ilikuwa ni saa nne usiku ila nilishangaa kwani alinifungulia mlango kwa upole na kunikaribisha.

Aliniandalia maji ya kuoga na hapo nilipotoka maliwatoni chakula kilikuwa tayari, alikuwa amevalia sketi fupi iliyonipa msukumo wa kumrukia na kuanza shughuli nzima.

Ama kwa hakika African Doctors alikuwa kasha nipa mwamko mpya kwenye ndoa yangu, baada ya chakula mapenzi yalinoga ajabu na hapo nilipata haki yangu ya ndoa na kutoa njaa ya miezi minne niliyokuwa nayo. Baadaye mke wangu aliniomba msamaha na maisha yetu yakawa mazuri ajabu.

African Doctors ana uwezo wa kukabili azma za uchawi, mizozo ya kimapenzi kama niliyokuwa nayo, kuongeza nguvu za kiume na mengineyo. Ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile ugonjwa wa kisukari, msukomo wa damu na kifafa kwa siku tatu pekee.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

MD LG azungumza na Mawakala Tanzania Teknolojia vifaa vya LG
AU yaweka mkazo Mtoto wa Afrika