Aliyekuwa Mume wa zamani wa Muigizaji Irene Uwoya na Mchezaji wa Burundi, Hamadi Ndikumana Katauti amefariki dunia.

Taarifa za kifo cha Ndikumana zimethibitishwa na Muigizaji Irene Uwoya,

Ndikumana na Uwoya walifunga ndoa Julai 2009 na walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume na kisha baadae kutengana

Makala: Kwanini unahitaji mazoezi kudhibiti mwili? Ni tatizo la Dunia…
LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Novemba 15, 2017