Muuguzi wa kiume abaka hospitalini, DED wa Nachigwea amvuruga Magufuli, Wakurugenzi ruksa kusimamia uchaguzi, JPM awaweka vigogo matumbo joto, Hakuna wa kuitisha dar-Makonda, Panga lawafyeka jumla vinara upigaji bandari, Serikali yapigwa bil.400, Watumishi wasiojiandikisha kutumbuliwa, Kanda ya ziwa yataja siri kung’ara matokeo la saba, TMA yatahadharisha mvua kubwa kunyesha nchini kote, Malkia wa nguvu wa darasa la saba,…Bofya hapa kutazama Habari zilizopewa uzito kwa siku ya leo Jumatano Oktoba 17, 2019.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=iad2T7rtOcY]

Video: Makonda ataka kukabidhiwa jengo kabla ya Disemba 30
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 17, 2019