Maelfu ya watu walikwama barabarani huku magari yakisombwa na maji na mali kuharibiwa na maji ya mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika mji wa Zhuzhou ulioko mkoa wa Hunan, nchini China mapema leo.