Bondia Hassan Mwakinyo amefunguka kuhusu pambano lake la Novemba 29 ambalo litakalofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam atapambana na bondia kutoka nchini Ufilipino ambaye yupo chini ya Manny Pacquiao pia Mwakinyo amefunguka kuhusu tabia ya baadhi ya wadau wa ndondi wanaouza mapambano nje ya nchi.
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=1AQNYzx4vRc]