Kila mwaka Tanzania wanafunzi wanakatisha masomo kwa kupewa mimba wakiwa bado wapo masomoni ,Rais Magufuli akiwa katika ziara yake mkoani Rukwa aliwaasa wanafunzi kuacha kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa bado wapo shuleni na kuzingatia masomo ili kufikia malengo yao.

Hata hivyo sheria imekuwa ikichukua mkondo wake pindi mtu yeyete akipatikana na kosa la kukatisha masomo ya binti kwa kumpa mimba akiwa shuleni,..Bofya hapa kutazama zaidi.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=aVs2m8HCJgk]

Aliyechomwa visu akimsaidia mwanamke asibakwe awania Tuzo
Je unafahamu faida za kudeka? hizi hapa faida 6