Msanii wa muziki miondoko ya reggae nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kwa jina la Bobi Wine, ashikiliwa na polisi.

Mwanamuziki huyo amekamatwa na polisi baada ya kuonekana akifanya kampeni kama mgombea huru nafasi ya urais inayong’ang’aniwa vikali nje ya mji wa Kampala kwenye uchaguzi mdogo ambao unatarajiwa kufanyika kesho.

Magazeti ya New Vision na Monitor ya nchini humo yaliripoti kuwa hakukutolewa sababu ya kukamatwa kwa mwanamuziki huyo aliyeamua kuigeukia  siasa.

Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni wa chama cha NRM na mpinzani wake wa muda mrefu, Dk Kizza Besigye wa FDC, pia wanatarajia kufanya kampeni katika eneo hilo alilokamatiwa Bob Wine ili kuwaunga mkono wagombea wao.

 

Chile kuumana na Ureno kombe la mabara, yaahidi kumdhibiti Ronaldo
?Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Juni 28, 2017