Habari Mwigulu Nchemba apata ajali 6 years ago Comments Off on Mwigulu Nchemba apata ajali Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba amepata ajali ya gari akiwa njiani barabara ya Iringa kuelekea Dodoma na amekimbizwa hospitali ya Dodoma. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Dar24 Media Mwili wangu umechanwa chanwa vibaya mno- Tundu Lissu Video: Mauaji watoto yahamia Simiyu, This is Simba