Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom imekubali kuongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuidhamini Ligi Kuu Tanzania Bara.

Vodacom imeishakubaliana kimsingi na TFF na Bodi ya Ligi (TPLB) na leo hiishughuli ya kusaini mkataba h

Taarifa zinaeleza kwamba kuna maboresho makubwa ndani ya mkataba huo yamefanyika.

Timu nne zilizopanda ni Maji Maji FC ya Songea, African Sports ya Tanga, Toto Africa ya Mwanza na Mwadui FC ya Shinyanga.

Timu zilizoshuka msimu uliopita ni mbili tu ambazo ni Ruvu Shooting (Pwani) na Polisi Moro (Morogoro)

Team Messi Waitambia Team Ronaldo Mitandaoni
FC Barcelona Kidume Uefa Super Cup