Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amewata Wabunge wa Chama cha ACT Wazalendo ambao bado hawajaapa kutoa taarifa kwa Spika ili wapangiwe muda wa kula kiapo na kuanza kuwatumikia wananchi. Ndugai ametoa wito huo leo Desemba 11, 2020 jijini Dodoma wakati akimuapisha Profesa Shukrani Manya ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Naibu Waziri wa Madini. “Tuna wabunge wa ACT-Wazalendo watatu ambao bado hawajaapa, ningependa kutoa wito na wenyewe wakiwa tayari kutumikia nchi yao kama kweli waliomba ubunge kutumikia wananchi, hawana sababu ya kuendelea kuzurura huko waliko, watoe taarifa kwa spika haraka tuwapangie ili wapate kiapo,” amesema Ndugai.

Ndugai awaita ACT ‘msizurure’

Uingereza yataka makubaliano ya biashara na Ulaya
Manya ala kiapo cha Ubunge, Unaibu Waziri

Comments

comments